My Favourite Site

Blogger Tricks

widgeo.net
Designed by Jeymodel Fashion. Powered by Blogger.
Sunday, July 6, 2014

JINSI SIMU YA MKONONI INAVYOSAIDIA WAGONJWA WA KISUKARI NCHIN SENEGAL

JINSI SIMU YA MKONONI INAVYOSAIDIA WAGONJWA WA KISUKARI NCHIN SENEGAL

simu
Kwa mara ya kwanza wagonjwa wa kisukari nchini Senegal wameanza kupokea ujumbe wa simu ukiwataka kufunga kwa kipindi cha kabla, wakati na baada ya mwezi wa Ramadhan.
Senegal imekuwa nchi ya kwanza kuanza kutumia huduma hiyo ya simu kuwasaidia wagonjwa kisukari njia muhimu na salama za kuweza kukabiliana na kulinda afya zao haswa katika kipindi hiki cha mfungo.
Wagonjwa walioanza kupokea huduma hiyo wanasema inawasaidia sana.
Marie Gadio, mwenye umri wa miaka 26, ambaye aligundulika kuugua ugonjwa wa kisukari akiwa na miaka 13 anasema kuwa kukabiliana na ugonjwa huo kipindi cha mwezi wa Ramadhan sio kitu rahisi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: JINSI SIMU YA MKONONI INAVYOSAIDIA WAGONJWA WA KISUKARI NCHIN SENEGAL Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top