My Favourite Site

Blogger Tricks

widgeo.net
Designed by Jeymodel Fashion. Powered by Blogger.
Sunday, October 5, 2014

Fainali za Redds Miss Tanzania zitarushwa moja kwa moja na StarTV Jumamosi trh 11/10/2014. USIKOSE


Fainali za Redds Miss Tanzania zitarushwa moja kwa moja na StarTV Jumamosi trh 11/10/2014. USIKOSE

WALIMBWENDE WAALIKWA CHAKULA CHA JION TARGET COMPLEX
             

Karibu katika ukurasa rasmi wa Redds Miss Tanzania 2014.
Pata habari mbalimbali kutoka katika kambi ya Redds Miss Tanzania kuelekea fainali zitakazorushwa na StarTV tarehe 11/10/2014.
Shuhudia LIVE mlimbwende mmoja kati ya hawa akinyakua taji na kuipeperusha bendera ya Tanzania kitaifa na kimataifa.




                      



Mr. Temu aliwaasa warembo hao kuchangamkia fursa mbalimbali za uongozi na kutokukata tamaa wanapokutana na changamoto mbalimbali.

Mr. Temu ambaye pia ni mdau katika sekta ya utalii na mkurugenzi mkuu wa Swisport Tanzania ambao wanashughulika na kuhudumia abiria katika viwanja vya ndege, kusafisha ndege, kutoa ngazi na kusimamia bohari la mizigo aliwasihi warembo hao kuwa mabalozi wazuri, "atakayepata heshima ya kubeba bendera aibebe kwelikweli aonyeshe uzalendo kusudi watalii waweze kutembelea Tanzania kujionea utajiri na vivutio vikubwa tulivyonavyo'






Warembo 30 wanaowania taji la Redds Miss Tanzania 2014 juzi walipata mwaliko wa chakula cha jioni katika kiota kipya cha maraha cha Target complex kilichopo Kawe jijini Dar es salaam.











Wakiwa hapo warembo hao walipata fursa ya kukutana na M/Kiti wa Target complex Mr. Gaudence Temu ambaye pamoja na mambo mengine aliwapa somo juu ya utalii na mambo mengine ya kijamii.


"Nyinyi ni vijana, kila mmoja ana malengo yake, naamini hakuna kati yenu ambaye anataka kushindwa" alisema Gaudence. "Kama walimbwende, mkitumia vizuri nafasi mbalimbali mnazopata na mkiwa focused, mnaweza kufika mbali sana" somo likaendelea.






Fainali za Redds Miss Tanzania zitarushwa moja kwa moja na StarTV Jumamosi trh 11/10/2014. USIKOSE



  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: Fainali za Redds Miss Tanzania zitarushwa moja kwa moja na StarTV Jumamosi trh 11/10/2014. USIKOSE Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top