My Favourite Site

Blogger Tricks

widgeo.net
Designed by Jeymodel Fashion. Powered by Blogger.
Tuesday, March 17, 2015

JITAMBUE KUPITIA JEYMODEL FASHION

                                             

MAENEO MAALUMU


Safari yetu ya kufikisha au kutimiza ndoto zetu haitawezekana kufikia bila kuwa na nyenzo ya kutufikisha tuendako,kipaji ni sawa na gari lakutubeba kuelekea safari yetu au yako.

MOTISHA ya kuitambua pia inaelekezwa na maeneo uyapendayo,kwahiyotafakari kwa makini kuhusu wapi ni maeneo yanayokuvutia kikazi na kimaisha.

Wanasayansi wasaikolojia ya jamii wanaamini nami ninaamini kuwa binadamu wa kawaida anamiliki vipaji vitano (5) na asiyekuwa wakawaida anazo nane (8) mpaka (10) . 

Je unajua unazo ngap?


Maisha ni kazi, makazi ni furaha.


Sikuzote vitendo huleta dhana
MOTISHA ya kujitambua Busara yako ni matokeo ya kuwa na dhana, ujuz na ufaham.
MAISHA ni sasa, jana ni mafunzo na kupata uzoefu. Kesho ndiyo matumain yetu.


MODEL : Emmanuel Edga
PHOTOGRAPHY- Rocktwonphotograph
Ukitaka kujua wewe ni nani?
Kwanza usiulize..Fanya kitu. Matendo yako yatakutafsiri na kukuelezea wewe ni nani.


MODEL ; JOYCE SHIJA
PHOTOGRAPHY- Rocktwonphotograph


MODEL ; MOGELLA
PHOTOGRAPHY- Rocktwonphotograph


MODEL;ILLUMINATA
PHOTOGRAPHY- Rocktwonphotograph


MODEL; HUSNA
PHOTOGRAPHY- Rocktwonphotograph


Model -Mogella
Photography- Rocktwonphotograph
Sikuzote Model unatakiwa ujiweke ktk mazingira Mazur. 
Model unatakiwa uwe hodar ili uweze kukalibiana na changamoto mbalimbali za mitindo.


JEYMODEL FASHION 
MODELS
 1-luminata
2-Mogella
     3-Emmanuel
Photography- Rocktwonphotograph
Tofauti kati ya mnyama na binadamu ni ujasiri. Kitu pekee kinacho weza kukulinda kimaisha ni kuwa na...ujasiri.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: JITAMBUE KUPITIA JEYMODEL FASHION Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top