My Favourite Site

Blogger Tricks

widgeo.net
Designed by Jeymodel Fashion. Powered by Blogger.
Tuesday, July 22, 2014

TANGAZA BIASHARA YAKO NA MODELS..

TANGAZA BIASHARA YAKO NA MODELS..

MKOBA SIO LAZIMA ABEBE BINTI AU MAMA KAMA TULIVYO ZOE ATA WEWE UNABEBA MFANO MZURI UNAUONA HAPO KATIKA PICHA.


Pochi ni sehemu muhimu sana katika maisha ya mwanamke. Pochi zipo za aina, rangi, ukubwa na matumizi mbali mbali. Ni nadra sana kukutana na binti au mama anayetembea bila pochi, na kwa wengine maisha yao yote wanatembea nayo kwenye pochi.

Kuna vitu muhimu ambavyo ni lazima kila mwanamke akumbuke kutembea navyo kwenye pochi, na kuna vingine ni vyema kuwa navyo lakini sio lazima.



  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: TANGAZA BIASHARA YAKO NA MODELS.. Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top