My Favourite Site

Blogger Tricks

widgeo.net
Designed by Jeymodel Fashion. Powered by Blogger.
Monday, August 11, 2014

Hiki ndicho kitu kitachofanywa na Flaviana Matata Foundation kwa wanafunzi mkoani Lindi

Hiki ndicho kitu kitachofanywa na Flaviana Matata Foundation kwa wanafunzi mkoani Lindi



fmf
Flaviana Matata foundation ambayo imeanzishwa na model Flaviana Matata siku ya leo (11/8/2014) itakuwa mkoani Lindi katika muendelezo wa kazi za kuchangia elimu.
Timu ya FMF itakuwa kwenye shule za msingi Mtua huko Nachingwea na Litingi iliyopo Lindi Mjini. Wanafunzi 700 wa shule hizi mbili watapokea vifaa vya shule kutoka Flaviana Matata foundation ambapo shughuli hii imedhaminiwa na PSPF.
Flaviana Matata foundation imewai kufanya kazi kama hizi sehemu tofauti kama Bagamoyo na sehemu nyingine kwenye project za FMF back to school project.
fmf2
fmf3
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: Hiki ndicho kitu kitachofanywa na Flaviana Matata Foundation kwa wanafunzi mkoani Lindi Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top