AUDITION FOR TANZANIA TOP MODEL KILIMANJARO REGION.
Audition for Tanzania Top Model Kilimanjaro Region. It is hot already in the Country!!!! The head Office has been forced to host a launching party for Tanzania Top Model season 2 this week!
Baadhi ya wageni wakifuatilia shughuli zilizokuwa zinaendelea!
Uzinduzi wa Msimu wa pili wa Tanzania Top Model umefanyika usiku wa 17 Septemba 2014 katika Hotel ya JB Belmont iliyoko katikati ya jiji la Dar es salaam.
Uzinduzi huo uliandamana na uzinduzi wa Tovuti ya mashindano hayo, ambapo wananchi wamehimizwa kujiandikisha katika Tovuti hiyo ili waweze kupata nafasi ya kupiga kura pia waweze kushiriki katika mijadala mbali mbali inayo fanyika katika tovuti hiyo.ya www.tanzaniatopmodel.co.tz
the event was for everybody
Tanzania Top Model Season 2 Launch - Pictorial
0 comments:
Post a Comment