SITTI ABBAS MTEMVU ATWAA TAJI LA REDDS MISS TANZANIA
Mrembo wa Redd's Miss Tanzania 2014,Sitti Abbas Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa pili,Lillian Kamazima (kulia) na Mshindi wa Tatu,Jihhan Dimachk mara baada ya kutawazwa rasmi usiku huu kwenye ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar es Salaam. Sitti Mtemvu alianza kwa kunyakua Redds Miss Chang'ombe na baadaye Redds Miss Temeke. Sitti ni binti wa Mbunge wa Temeke, Mhe. Abbas Mtemvu.
Kwa ushindi huo, Sitti atapeperusha bendera ya Tanzania katika mashindano ya Miss World 2015 na kajinyakulia kitita cha milioni 18 .
Dorice Mollel ameshika nafasi ya nne wakati Nasreen Abdul akichukua nafasi ya tano
Miss Tanzania 2014, Siti Mtemvu akikadhibiwa cheki yake na Victoria Kimaro, Brand Manager wa Redds pamoja na Vimal Vaghmaria, Marketing Manager wa TBL..
Miss Tanzania 2014, Siti Mtemvu with her two runner-ups, Jihan Nadesh and Lilian Kamazi.
Nani ataibuka na taji la Miss Tanzania usiku wa leo? Top 5 wakisubiri na kusali nyuma ya jukwaa
Anticipation grows!! We are now in the final stages of crowning our Miss Tanzania 2014!! Who do you think will take the crown tonight?
The lovely ladies as they prepare to woo and convince you why you should choose one of them for Miss Tanzania 2014
Hivi ni miongoni mwa vitu kutoka Miss Tanzania 2014!
0 comments:
Post a Comment