PICHA ZAIDI YA 38 ZA MAMISS REDD MISS TANZANIA TALENT 2014 WALIVYOTINGA MSHINDI YUPO HAPA PIA
Nicole Franklyn Sarakikya ambaye ni mwakilishi kutoka Shinyanga 2014 usiku wa kuamkia leo alifanikiwa kuwabagwa warembo wenzake 26 kati ya 30 wanao wania taji la Miss Tanzania mwaka huu na kufanikiwa kuwa mrembo wa 3 kuingia Nusu Fainali ya Mashindano hayo baada ya kutwaa taji la miss talent. Shindano hili limefanyika New Maisha Club jijini Dar es Salaam.

Tano bora ilikuwa hii


Tano bora ilikuwa hii
Ommy Dimpoz akiwa kwenye
Mambo yalikuwa hivyo kwa baadhi ya washiriki
Mardha John akifanya vitu vyake
Kwa Naomi Kisaka ilikuwa ni shidaaaaaa
Huyu alikuja kiivi
Sabina Thomas alitoka kivyake vyake
Maureen Godfrey akishake kwenye stage
Majaji wakifuatilia shindano hilo kwa makini
Nicole Franklyn Sarakikya akiimba kwa hisia kali
Hapa ni mwendo wa burudani tu
Ni mwendo wa furaha tu
Camilla John aliimba kwa hisia
Hii ni kikwetu kwetu
Happy Sosy alikuja kama Beyonce
Queen Latifa Hamisi yeye aliamua kukata nyonga
Ni mwendo wa mauno
Ni furaha tu
Ngoma ziliamia India kwa muda
Mc wa mashindano ya Redds Miss Tanzania Talent, Hypeman Hk akifanya ya kwake kwenye jukwaa la New Maisha Club.
Ommy Dimpoz akitoa burudani kwenye stage ya Tanzania Miss Talent iliyofanyika ndani ya New Maisha Club Dar es salaam.
Kazi inendelea hapa
Majaji wakijadiliana jambo
Ilikuwa ni shidaaaaaa
Ommy Dimpoz (kulia) akiimba pamoja na Christian Bella waimbo wa mama ulioleta amasa kwa mashabiki wake.
Majaji wakiongozwa na Chief jaji Martin Kadinda wakitoa maoni juu ya washiriki walioonesha
vipaji vyao
Baadhi ya mashabiki wakifuatilia kwa makini tukio lililokuwa likiendelea.
0 comments:
Post a Comment