JE WATAKA KUPENDEZA NA JEYMODEL FASHION..
Mara nyingi wanawake wamekuwa wakijichukia na kujiona si wazuri wala hawapendezi kwa kuangalia muonekano wa nje. Unajiangalia na kujilinganisha na wengine na kuishia kuona mabaya(usiyoyapenda) na kuacha kuona jinsi MUNGU alivyokuumba vyema na kukubariki.
Utaona kuwa hauna nywele nzuri kama fulani, umenenepa/ kukonda sana, hauna elimu kama wengine, haujaolewa na mengine
Nigauni la bega moja na lina marinda matatu chin
JE WATAKA KUPENDEZA NA JEYMODEL FASHION..
Mara nyingi wanawake wamekuwa wakijichukia na kujiona si wazuri wala hawapendezi kwa kuangalia muonekano wa nje. Unajiangalia na kujilinganisha na wengine na kuishia kuona mabaya(usiyoyapenda) na kuacha kuona jinsi MUNGU alivyokuumba vyema na kukubariki.
Utaona kuwa hauna nywele nzuri kama fulani, umenenepa/ kukonda sana, hauna elimu kama wengine, haujaolewa na mengine mengi.
TAFADHAR FUATANA NA JEMODEL FASHION.
Kupendeza ni vile mtu unavyojipanga katika mavazi na moja ya mavazi mhimu kwa
ukanda huu wa Afrika ni vazi la kitenge ambapo naweza sema Wanaafrika
wamesahau kabisa vazi hili hebu angalia kwa makini haya mavazi yaliyo shonwa kwa
0 comments:
Post a Comment