My Favourite Site

Blogger Tricks

widgeo.net
Designed by Jeymodel Fashion. Powered by Blogger.
Saturday, July 5, 2014

JE WATAKA KUPENDEZA NA JEYMODEL FASHION..

JE WATAKA KUPENDEZA NA JEYMODEL FASHION..

Mara nyingi wanawake wamekuwa wakijichukia na kujiona si wazuri wala hawapendezi kwa kuangalia muonekano wa nje. Unajiangalia na kujilinganisha na wengine na kuishia kuona mabaya(usiyoyapenda) na kuacha kuona jinsi MUNGU alivyokuumba vyema na kukubariki.  
Utaona kuwa hauna nywele nzuri kama fulani, umenenepa/ kukonda sana, hauna elimu kama wengine, haujaolewa na mengine 

Nigauni la bega moja na lina marinda matatu chin

JE WATAKA KUPENDEZA NA JEYMODEL FASHION..

Mara nyingi wanawake wamekuwa wakijichukia na kujiona si wazuri wala hawapendezi kwa kuangalia muonekano wa nje. Unajiangalia na kujilinganisha na wengine na kuishia kuona mabaya(usiyoyapenda) na kuacha kuona jinsi MUNGU alivyokuumba vyema na kukubariki.  
Utaona kuwa hauna nywele nzuri kama fulani, umenenepa/ kukonda sana, hauna elimu kama wengine, haujaolewa na mengine mengi.

 TAFADHAR FUATANA NA JEMODEL FASHION.

Kupendeza ni vile mtu unavyojipanga katika mavazi na moja ya mavazi mhimu kwa

 ukanda huu wa Afrika ni vazi la kitenge ambapo naweza sema Wanaafrika

 wamesahau kabisa vazi hili hebu angalia kwa makini haya mavazi yaliyo shonwa kwa

 kitenge uvae upendeze

jeymodelfashion
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: JE WATAKA KUPENDEZA NA JEYMODEL FASHION.. Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top