Mashindano ya kumtafuta mlimbwende atakaye ipeperusha bendera ya Tanzania kitaifa na kimataifa yatafikia kilele kesho katika fainali zitakazofanyika Mlimani City jijini Dar es salaam.
Redds Miss
Tanzania 2014.












.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)









.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)



Usikose kutazama fainali hizi zitakazorushwa LIVE na StarTV. Mchakato utaanza saa moja jioni.
0 comments:
Post a Comment