My Favourite Site

Blogger Tricks

widgeo.net
Designed by Jeymodel Fashion. Powered by Blogger.
Friday, October 10, 2014

WASHIRIKI WA REDDS MISS TANZANIA 2014 WALIPOTEMBELEA MARIE STOPES TANZANIA


 WASHIRIKI WA REDDS MISS TANZANIA 2014 WALIPOTEMBELEA MARIE STOPES TANZANIA




Ukiwa mlimbwende na mshiriki wa mashindano ya Redds Miss Tanzania basi kitu kimoja ni cha uhakika - utatembelea sehemu mbalimbali nchini na vituo kedekede ili kujifunza na hata kustaajabu fursa mbalimbali na vivutio vinavyopatikana katika taifa teule la Tanzania.



Tangu kambi ya Miss Tanzania ilipoanza warembo wamepata fursa ya kutembelea mbuga mbalimbali za wanyama zikiwemo Mikumi, Arusha National Park, Tarangire, Ngorongoro na Kilimanjaro.



Warembo hao wapatao 30 wanaowania taji la Redds Miss Tanzania 2014 wiki hii pia walipata fursa ya kutembelea Marie Stopes Tanzania ambapo walijifunza kuhusu uzazi wa mpango na njia mbalimbali za uzazi salama.





Endelea kufuatilia kinachoendelea katika kambi ya Miss Tanzania kupitia ukurasa huu. Usikose kutazama fainali zitakazorushwa LIVE na StarTv siku ya Jumamosi 11/10/2014





  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: WASHIRIKI WA REDDS MISS TANZANIA 2014 WALIPOTEMBELEA MARIE STOPES TANZANIA Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top