My Favourite Site

Blogger Tricks

widgeo.net
Designed by Jeymodel Fashion. Powered by Blogger.
Monday, September 22, 2014

NGOZI YA BINADAMU NA JINSI INAVYOZEEKA

NGOZI YA BINADAMU NA JINSI INAVYOZEEKA

Ngozi ya binadamu ina kazi nyingi  kama, kulinda mwili dhidi ya athari za nje kama mazingira mabaya, kemikali , vijidudu nk , kutunza joto la mwili kwa kutoa joto la ziada kwenda nje au kulitunza joto la ndani ya mwili kama mazingira ya nje ni ya baridi, kutunza unyevunyevu mwilini na kiwango cha maji  nk


Ngozi ya binadamu  imegawanyika katika matabaka matatu
  • Tabaka la nje (Epidermis )
  • Tabaka la kati (Dermis )
  • Tabaka la nyama (Hypodermis)
Tabaka la nje (epidermis):
Hili ni tabaka lililo nje ya ngozi ambalo wengi tunalifahamu. Kwa sababu  ni sehemu inayoonekana , tabaka la nje la ngozi ndilo huonyesha alama za kuzeeka , makovu na athari nyingine za mazingira/vijidudu kwenye ngozi.
Ingawa tabaka la nje(epidermis) ni tabaka moja, tabaka hili limetengenezwa na matabaka ya chembechembe hai ambazo hukua kila mara. Kukua huku husababisha zile chembechembe hai za juu zilizochoka/kufa kupukutika na nafasi yake kuchukuliwa na chembechembe hai mpya.
Tabaka la kati (dermis): 
 Kwenye tabaka hili ndiyo tunakuta hifadhi ya mwili ya collagen na elastin. Collagen na Elastin ndiyo vinahusika na uimara na muonekano nyororo wa ngozi. Kwenye tabaka hili pia kuna sebaceous gland ambayo kutoa lipid/mafutafuta  yanayoitwa sebum . Sebum husafirishwa kwenye tabaka la nje la ngozi kupitia mirija midogomidogo ambayo ipo kwenye kila shina la nywele. Sebum ni muhimu sana kwa afya ya ngozi hasahasa kwenye uimara wake, muonekano wa ujana wa ngozi, unyororo wake, kuzuia uharibifu na kuzuia kupata makunyanzi katika umri mdogo.
Tabaka la nyama (hypodermis):
 Hii ni sehemu yenye chembechembe zilizo bapa inayoambatana na mafuta na nyama (subcutaneous muscles). Tabaka hili linazuia upotevu wa maji mwilini vilevile linafanya kazi ya kuzuia mionzi ya Ultra Violet iliyopo kwenye mwanga wa jua.
Matabaka yote haya matatu hufanya kazi kwa ushirikiano kuitunza na kuilinda ngozi.
JINSI MWILI UNAVYOZEEKA
Ngozi ya binadamu inakuwa na ubora wa hali ya juu anapokuwa kwenye miaka ishirini. Huu ni wakati ambapo chembechembe mpya hutokea kwenye tabaka la juu la ngozi kila baada ya siku 14 mpaka 18. Lakini tunapofikia miaka  thelasini ngozi inaanza kupoteza ule ubora wake na alama za mwanzo za kuzeeka kama mikunjo na ukavu wa ngozi zinaanza kuonekana.
Kinachosababisha hali hii ni kupungua kwa kasi ya utengenezwaji wa chembechembe mpya kwenye ngozi.
Unapofikia miaka 40 na kuendelea , kutengenezwa kwa chembechembe mpya za ngozi kunachukua muda wa zaidi ya mara mbili ya wakati ulipokuwa na miaka 20.
Kupungua kwa kasi ya utengenezaji wa chembechembe mpya kunasababisha zile chembechembe za zamani zibaki kwenye tabaka la juu la ngozi kwa muda mrefu na hivyo kuifanya ngozi ionekane kavu na isiyo na uchangamfu/unyororo wake wa asili.
TUNZA NGOZI YAKO KWA KUIWEKA KATIKA HALI YA UJANA KWA KUTUMIA BIDHAA ZA FOREVER LIVING  ZILIZOTENGENEZWA NA ALOE VERA.
Bidhaa hizi hupenya ndani ya matabaka yote ya ngozi  na hivyo huweza:
  • Kuhifadhi unyevu wa asili wa ngozi
  • Kurudisha Uimara na Unyumbukaji wa ngozi
  • Kurudisha Upya muonekano wa ngozi
BIDHAA ZA NGOZI YA USO
ALOE FLEUR DE JOUVENCE (FLOWER OF YOUTH)
Bdhaa kamili za ngozi ambazo huwezi kufananisha na zozote kwenye masoko kwa sababu zina kiwango kikubwa  cha aloe vera gel na bidhaa za asili.
Mpangilio wa kusafisha ngozi  una vitu vifuatavyo:
Exfoliating cleanser(43% aloe vera)
Facial contour mask powder
Rehydrating toner(45% aloe vera)
Firming foundation  lotion(41% aloe vera)
Recovering night cream(46% aloe vera)
Aloe activator(99.9% aloe vera)
——————————-
For centuries, numerous civilizations have used pure, fresh Aloe Vera to help their skin look and feel healthy, young and beautiful. The Egyptians, renowned for their continuous quest for physical beauty as epitomized by Cleopatra, used Aloe Vera for its moisturizing qualities in their efforts to remain young looking. Today, Forever Living Products has captured the full strength of the living plant and blended it into one of the finest skin care regimes available.
Aloe Fleur de Jouvence® (‘Flower of Youth’) is one of the most effective restorative beauty collections ever assembled. It is a collection of six wonderful components – each designed to fill a special part in a complete regimen of facial skin care. Combining the benefits of traditional wisdom with the scientific knowledge of modern dermatology, Forever Living Products has spared no expense in researching and developing excellent products. Displayed in a beautiful container, the collection also includes a mixing spoon, application brush and a mixing bowl. While each of the products is available separately for replacement, it is only through the combined use of all six elements that the full benefits can be enjoyed.
Each product in Aloe Fleur de Jouvence® has been developed with great care and attention to the daily needs of your skin. We start with pure, Stabilized Aloe Vera gel, and combine it with nature’s unique cellular substance, Collagen, along with exceptional moisturizers, emulsifiers and humectants. This creates a unique skin care range that helps counteract the threat of time, weather and environmental elements. The preventive and restorative Aloe Fleur de Jouvence® program provides a daily skin care regime to help promote the naturally occurring attributes of youth, vigor, freshness and radiance of the skin.
Aloe Vera has always been great for the skin. Now, pamper yourself even more with Forever Living P

roducts Aloe Fleur de Jouvence®!

Tsh 192,000/-
Bidhaa hizi pia zinauzwa mojomoja
REHYDRATING TONER
Haina alcohol bali ina Aloe vera na witch hazel ambazo ni za peekee kwa ajili ya kuongeza unyevu
Botanical extracts kwa kukaza vitundu vya ngozi
Collagen na alantoin kwa ajili ya kulisha na kulainisha chembechembe hai za ngozi.
Husaidia kusafisha uchafu unaoachwa na cleanser.
Nyunyiza kwenye pamba na ujifute mara mbili kwa siku.   Tsh 25,000/-
Rehydrating Toner is a non-drying, alcohol-free formula that contains natural aloe vera and witch hazel, together with special skin moist-urizers and plant extracts, for toning the skin. It also contains collagen and allantoin for cell conditioning.

Rehydrating Toner is a gentle preparation, used to remove the last traces of cleanser, makeup, impurities and dull, lifeless surface cells, thus providing good secondary cleansing and toning to tighten the pores. It removes residual oils and dirt while invigorating the skin and leaving it clean, smooth, balanced and stimulated. Rehydration is provided as the skin is gently refined.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: NGOZI YA BINADAMU NA JINSI INAVYOZEEKA Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top