Ryan's Bay Hotel ni Hotel yenye hadhi inayolingana na Jiji la Mwanza Rock City.
Wageni hufika hapo kujipatia nafasi kwa ajili ya malazi pia, hujipatia chakula cha kila aina na nisafi likiwa ni zao la Kanda ya ziwa kama , Samaki, Mboga za Majani, Nyama, pia na Nyama Choma.
Lakini uingiapo tu ndani ya Jengo eneo la mapokezi, utakutana na Screen inayobadirika badirika rangi kutokana na vipindi kama kinyonga inavyobadirika badirika, rangi , Screen hiyo hua hailali njaa nikiwa na maana haikosi watazamaji, kwa ajili ya kuangalia taarifa za kibiashara ikiwa pia taarifa za safari zikiwemo za Ndege ,Meli ,Train, Mabasi,m nk.
Lakini pia huwezi kukuta Screen hii/hizi zinaonyesha mchele mchele la kwani mafundi huchukua nafasi yakuzipitia kwa kuzikagua kuhakiki kuwa ziko katika kiwango cha hali ya juu kwa mtazamo wa ubora wa picha.
Ni rahisi mgeni yeyeyote kuzifuatilia Screen hizi zilizowekwa na barmedas Channel ya Mwanza Tv Guide kwa kushirikiana na uongozi wa Hotel hiyo ya Ryan's Bay.


0 comments:
Post a Comment