NEW MAISHA CLUB INAKULETEA REDDS MISS TANZANIA TALENT 2014
Reds miss tanzania talent ni tamasha la vipaji kwa washiriki wa reds miss tanzania litafanyika ijumaa hii ya tar 03/10 ...new maisha club oysterbey.. kiingilii elfu 15 kawaida na elfu 30 kwa maisha lounge...akiongea meneja wa entertaiment maisha club hemed kavu (hk) alisema "pia kutakuwa na burudani mbalimbali na show kali kutoka kwa msanii wa bongo fleva ommy dimpoz... siku hiyo kila kitu kitakuwa tofauti kuanzia mziki utakaopigwa,stage itakavyojengwa itakuwa maalum kabisa kwa ajili ya reds miss tanzania talent 2014.
0 comments:
Post a Comment